WizKid na Chris Brown waingia studio

mkali wa "Top your mater" kutoka Nigeria anayefanya vizuli balani Africa pamoja na kupenyeza penyeza katika anga za duniani WIZ KID aingia studio na CRIS BROWN kwa lengo la kufanya ngoma na na mkali huyo kutoka nchini Marekani

Kupitia
mitandao ya kijamii WizKid ameweka picha hii akiwa na Chris Brown na kuandika “Studio!! @chrisbrownofficial @__bu x Tyga!! #DisturbingLA!”

toa maoni yako..........

Comments

Popular posts from this blog

soma habali za kwenye magazeti leo

hii ni list ya baadhi ya majina ya wasanii wa Nigeria waliohit mwaka huu kuanzia A-Z