TATOO YA NUH YENYE JINA LA SHILOLE YAZUA UTATA
Msanii chipkizi Nuh Mziwanda anayechipukia kwenye anga za bongo fleva amezua utata baada ya kuchola tatoo mkononi yenye jina la mpenzi wake Shilole
cheki alivyoandika kwenye Instagram. “Coz nampenda mke wangu nimeamua kuchora jina lake! Ila imeuma kuliko tattoo iliyopita! Siju kwa nn??,”
Shilole alijibu: Thankx my lv 4 dis! Umeonyesha lv ya ukweli
chezea Bongo wewe
toa maoni yako...............
Comments
Post a Comment