Robot yenye uwezo na hisia za binadamu


 Kampuni ya Soft Bank ya nchini Japan imetoa mpya baada ya kutengeneza Robot ambayo ina uwezo ya kuwasiliana na kusoma hisia za mwanadamu.


Robot hiyo iliyopewa jina la Pepper inadaiwa kuwa ina uwezo wa kufikiri kama mwanadamu na kufanya kile mtu atakachomwambia na uwezo wa kufanya shughuli mbalimbali kama binadamu.
robot hiyo yenye urefu wa futi nne ni Robot ya kwanza yenye moyo ambapo ina uwezo kutambua sauti, ishara, maneno kupitia programu ya akili bandia iliyofungwa (emotional engine)

toa maoni yako.........

Comments

Popular posts from this blog

hii ni list ya baadhi ya majina ya wasanii wa Nigeria waliohit mwaka huu kuanzia A-Z

mbinu za kuwa producer au mtayarishaji wa music