kali ya mwaka afanyiwa operation (upasuaji) akiwa anaimba

bg
Mwimbaji Alama Kante ametoa mshangao wa mwaka baada ya kulazimika kuimba huku akifanyiwa upasuaji kuondoa uvimbe kwenye koo lake ili madaktari wasiharibu sauti yake.
Mwimbaji huyo kutoka Guinea mwenye makazi yake nchini Ufaransa alipatiwa dawa za kumfanya asisikie maumivu wala uchungu wakati wote wa zoezi la upasuaji.
Kante alikuwa akiogopa kupoteza sauti yake lakini daktari wake alipendekeza afanyiwe upasuaji huku anaimba.
Kante ambaye kwa sasa amepata nafuu amesema wakati upasuaji ukiendelea alihisi kama yuko Senegal na wakati alipoamka na kuzungumza tena madaktari na wauguzi walifurahi kwakuwa wametimiza lengo lao.

toa maoni yako

Comments

Popular posts from this blog

soma habali za kwenye magazeti leo

hii ni list ya baadhi ya majina ya wasanii wa Nigeria waliohit mwaka huu kuanzia A-Z