DAIMOND AKUTANA LIVE NA MENEJA WA TREY SONGZ MAREKANI

mwanzoni mwa wiki daimond alikutana na Mh. Raisi JK jijini New York Marekani huku kila mmoja akiwa na mambo yake.Ilisemekana kwamba JK kamkutanisha Diamond na meneja wa staa mkubwa wa muziki kutoka Marekani, Trey Songz. Kuna madai kuwa lengo la kumkutanisha Diamond na jamaa huyo ni ili afanye kolabo na Trey Songz hivyo kumweka kimataifa zaidi kama ilivyo kwa P-Squire na wengineo. Ilisemekana kwamba kama kolabo hiyo itafanikiwa JK atakuwa ameshiriki kuiunganisha kwa asilimia kibao chezea jk wewe....

Comments

Popular posts from this blog

soma habali za kwenye magazeti leo

hii ni list ya baadhi ya majina ya wasanii wa Nigeria waliohit mwaka huu kuanzia A-Z