DAIMOND KUKOSA TUZO ZOTE ZA MTV MAMA LEO
Msanii daimond aliyekuwa akishiliki katika tuzo za MTV MAMA hajafanikiwa kupata tuzo yoyote wakati Tuzo ya best collabo ilitangazwa awali na imechukuliwa na Uhuru ft DJ Bucks,Oskido,Professor,Yuri Da Cunha na wimbo wa Y-tjukutja na Tuzo ya mwisho alikuwa anawania Diamond kwenye MTV MAMA 2014 ilikuwa ni Best Male Artist lakini imechukuliwa na Davido. Leo Diamond alikuwa anawania tuzo mbili lakini hajafanikiwa kushinda kati ya hizo
kiukweli WATANZANIA wengi tumesikitika kwa kitendo cha Daimond kukosa Tuzo.
toa maoni yako
Comments
Post a Comment