HEMED ADAI KUACHIA VIDEO SITA (6) KWA MPIGO NDANI YA MIEZI SITA


Mwanamuziki na muigizaji HEMED SUREIMAN anayefanya vizuri nchini adai kuachia video sita kabla ya mwaka ili kutoa burudani kwa mashabiki wake.

akizungumza na The Cruise ya East Africa Redio Hemed amedai kuanzia mwezi huu wa 6 mpaka wa 12 atakuwa anatoa video mpya kila mwezi "Mwaka huu nina plan kwamba mpaka mwaka unaisha nimeachia video zangu 6 kuanzia huu wa 6 mpaka wa 12 kwa maana nina attendance ya kila mwezi kupresent video mpya yani hayo ni malengo ambayo nimeyaweka. nataka tu ile attetion kwamba this guy right now is busy na yupo serious na music industry. kwa hiyo kinacho hapen

 sasa hivi nipo kwenye shooting ya video yangu ya tatu ni ngoma ambayo imerecodiwa say record tunaoshoot mimi na jamaa wa kwetu studio kwa sababu jamaa hao nimeamua kuwapa kazi hiyo.

pia nipo kwenye mchakato wa kushoot tano nyingine acha hii inayotoka wiki hii kwahiyo watu wategemee kila mwezi watapata video

mpya toa maoni yako kama umeipenda hii.....

Comments

Popular posts from this blog

soma habali za kwenye magazeti leo

hii ni list ya baadhi ya majina ya wasanii wa Nigeria waliohit mwaka huu kuanzia A-Z