HIKI NDICHO ALICHOKISEMA DAIMOND BAADA YA KUKOSA TUZO YA BET
baada ya kushindwa kupata tuzo ya BET daimond ameandika hivi kwenye mitandao ya kijamii
‘Tusipopenda kukubali matokeo na ushindi wa wenzetu basi daima hatutaweza kuwa washindani, muhimu ni kujua wapi tulipotoka na wapi tulipo leo, katika nchi zaidi ya 20 zenye wasanii zaidi ya milioni 40 kuchaguliwa Tanzania ni fursa, heshima na hatua kubwa, cha muhimu ni kuitumia vyema fursa hii na kuhakikisha mwakani tunapiga hatua, asante sana kwa wote wanaozidi kunisupport’
Comments
Post a Comment