Ngororo mwisho chalinze

 
Baada ya daimond kushindwa kuchukua tuzo hata moja alizokuwa akishiriki za MTV MAMA hii ndio kauli yake aliyoandika kwenye mitandao ya kijamii

’Maisha ni Hatua.. Nafkiri kwa mwaka huu ile ndio ilikuwa hatua yetu kwa MTV…Cha muhimu ni kujua wapi tulipokua mwaka jana na wapi tulipo leo… pia kujifunza na kujua ni nini cha kuongeza zaidi ili Next tym tuzidi kufanya vyema…. Shukrani zangu nyingi ziende kwa Mashabiki wote,Management, Media,Family, wasanii na wadau Mbalimbali kwani kwa nguvu zao ndio zimefanya leo kunisogeza toka sehem moja kwenda nyingine…Next stop #BET!!!… Asante sana
lakini kwa upande wa wadau wa muziki kila mtu anaongea lake mtaani huku kauli nyingi za kukatisha tamaa zikiwa hoooot mtaani huku wengine wakisema "bola ajachukua kwasababu angewatesa sana wenzie" lakini kauli kubwa nzito ya mwaka ni NGORORO MWISHO CHALINZE MJINI SKELEWUUUU

chezea WABONGO wewe

toa maoni yako

Comments

Popular posts from this blog

soma habali za kwenye magazeti leo

hii ni list ya baadhi ya majina ya wasanii wa Nigeria waliohit mwaka huu kuanzia A-Z