Posts

Showing posts from April, 2015

MAOMBI MAZURI

Image
yesaa has joined. SteffenS has joined. SteffenS HOST Hi yesaa, welcome to Live Prayer. SteffenS HOST How can I pray for you? yesaa i have a dream to be a big producer soo i need pray abuot my dream. thank you SteffenS HOST Okay, yesaa, let's pray about it. yesaa ok. thankvyou SteffenS HOST Heavenly Father thank You for bringing yesaa here today. We come before You in prayer to ask for Your guidance and Your blessings. God I pray that You will draw yesaa closer to You and bless hi

wema na idris kumekucha

bonyeza hapa kuwaona wakienjoy

ZOEZI LA UANDIKISHAJI KUENDELEA HADI JULAI

Image
Zoezi la uandikishaji mkoa wa Njombe litakamilika April 18 na baada ya hapo itafuatia mikoa ya Ruvuma, Iringa, Mtwara na Lindi #ZamuYako2015 . Vifaa vya kuandikishia (BVR kits) nyingine 248 zitawasili ndani ya wiki ijayo na vingine 1600 vitafuata baada ya muda mfupi. NEC imesema kama vifaa vya kuandikishia vitafika vyote zoezi la uandikishaji litakamilka ifikapo mwezi julai mwaka huu. Gharama za vifaa vyote vilivyoagizwa kwaajili ya vifaa vya kuandikishia (BVR kits) ni dola za Kimarekani milioni 72 ambazo ni sawa na Tsh bilioni 133.4

WATU 147 WAFARIKI KWENYE SHAMBULIZI NCHINI KENYA

Image
  Waziri wa Mambo ya Ndani Kenya Joseph Nkaissery amesema watu 147 wamekufa katika tukio la shambulio la Chuo Kikuu cha Garissa magaidi wote wanne nao wameuwawa.

ujumbe wa bibi kizee kwa Obama

Image
  Gertrude Weaver ameingia kwenye kitabu cha kumbukumbu dunia baada ya kuwa mtu mzee kuliko wote duniani kufuatia kifo cha mkongwe Misao Okawa aliyefariki jana ambaye alikuwa raia wa Japan. Bibi huyo raia wa mji wa  Arkansas, Uingereza ameingia kwenye orodha hiyo akiwa na miaka 116 na Julai 4 mwaka huu anatimiza miaka 117. Mbali ya kuwa na umri mkubwa kuliko wote,Weaver ametoa ujumbe kwa rais wa Marekani Barack Obama kuwa anamuomba aweze kuhudhuria kwenye siku yake ya kuzaliwa kwa sababu alichangia kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa Marekani kwa kumpigia kura mara mbili. Alizaliwa katika mji wa Arkansas mwaka 1898. chanzo millardayo

chuo kikuu Kenya chavamiwa

Image
  Stori ambayo imechukua Headlines tangu asubuhi ya leo April 02 ni taarifa kutoka kwa wenzetu Kenya  kutokana na lile shambulio la kigaidi limehusishwa na kikundi cha Kigaidi cha  Al-Shabaab na hii ni   baada ya kuvamia Garissa College University,   huu ni muendelezo wa kile kilichoripotiwa mwanzo. Mpaka sasa ripoti inasema Wanafunzi 70, wameuawa na wengine zaidi ya 79, wamejeruhiwa kutokana na tukio la uvamizi wa  Garissa College University, wanafunzi walionusurika wamesema magaidi hao walianza kuwapiga risasi walinzi wawili waliokuwa getini na kuelekea katika mabweni ya wanafunzi ambapo walianza kuwagawa kwa dini zao na kuanza kuwaua kwa risasi. Kufuatia tukio hilo Rais Uhuru Kenyatta , amemtaka Inspector Generali wa Polisi, Joseph Boinet kuhakikisha wanamgambo wote wanaripoti kwenye chuo cha mafunzo ili kuongeza idadi ya maafisa wa Polisi nchini humo. Amesema taifa hilo linakubwa na uhaba wa maafisa wa Polisi kutokaza na kufutwa kwa zoezi la kuwasajili maafisa w