ujumbe wa bibi kizee kwa Obama
Gertrude Weaver
ameingia kwenye kitabu cha kumbukumbu dunia baada ya kuwa mtu mzee kuliko wote
duniani kufuatia kifo cha mkongwe Misao Okawa aliyefariki jana
ambaye alikuwa raia wa Japan.
Bibi huyo raia wa mji wa Arkansas, Uingereza ameingia kwenye
orodha hiyo akiwa na miaka 116 na Julai 4 mwaka huu anatimiza miaka 117.
Mbali ya kuwa na umri
mkubwa kuliko wote,Weaver ametoa ujumbe kwa rais wa Marekani Barack
Obama kuwa anamuomba aweze kuhudhuria kwenye siku yake ya kuzaliwa kwa
sababu alichangia kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa Marekani kwa kumpigia kura
mara mbili.
Alizaliwa katika mji wa
Arkansas mwaka 1898.
chanzo millardayo
Comments
Post a Comment