mbinu za kuwa producer au mtayarishaji wa music

imeandikwa na prod. MicMarryEd
micmarryed@gmail.com
tzmusic21@gmail.com
0716842016
0755776236

Producer/ ntayarishaji wa music wa audio ni mtu anayetengeneza nyimbo zilizo katika mfumo wa audio. kuna siri nyingi za kuweza kuwa producer lakini kwa leo naomba tuanze na hizi.

1. nia- kwa kawaida ukitaka kufanya kitu chochote na kufanikiwa lazima uwe na nia ya kufanya kitu hicho hapo utafanikiwa

2. maamuzi- ukishakuwa na nia lazima ufanye maamuzi ya moja kwa moja ambayo unayapa marks 100 ambayo hayatakughalimu

3. kujitoa- ukishafanya maamuzi nilazima ukubali kujitoa kwa maana kazi ya production ni lazima kujitoa na usipojitoa kwa moyo wote hauwezi kufanya kazi nzuri

4. kujituma - mafanikio yooote yanakuja kwa kujituma usipojituma hauewezi kupata chochote utaishia tu kuwasifia watu kuwa mtu flrni mkali sana yani anapiga beati kali balaa

5. kuwa na moyo- ukishajituma nilazima uwe na moyo wa kujifunza na kuto kukata tamaa kwa sababu watu wengi huwa wanakuwa wanawahi kukata tamaa wanapokuwa wanajifunza ni vema ukajitoa kwa moyo wote ili kuukamilisha msemo usemao "mchumia juani hulia kivulini"

6. udadisi- ukitaka uelewe zaidi kuhusu production ya muziki ni lazima uwe mdadisi sio kila kitu uwe unaangalia mtu anavyofanya au kufundishwa tu bali inatakiwa ukikaa peke yako uwe unajitahidi kugundua njia zako binafsi na hii inasaidia sana kutu kupiga beat zinazofanana na mtu anayekufundisha au unayemwangalia kwa kuibia

7. kuto kuchagua style. unajua maproducer wengi wanakuwa wanabaki chini kwa sababu wanakuwa wanadil na style moja ya muziki wanayopiga hivyo wanakuwa wanashindwa kufanya kazi nyingine

8. kutokuwa na kibuli au zarau- unajua watu wengi wanakuwa wanapenda kumfundisha au kumpa kazi mtu asiye na kibuli au zarau kwa sababu ukiwa na heshima unaweza kumcomvis yeye mpaka akajikuta anakusaidia vitu ambavyo hamsaidii mtu mwingine hivyoheshima ni kitu muhimu sana kwa mwalimu wako/mtu anayekufundisha/sehemu unayopiga chabo

kwa leo tuishie hapo ila itaendeleaaaaa hiv kalibuni.................

toa maoni yako............

Comments

  1. Makini sana mkubwa napenda sana niwe producer mzuri dah mungu akubariki kwa madini yako mazuri.

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

soma habali za kwenye magazeti leo

hii ni list ya baadhi ya majina ya wasanii wa Nigeria waliohit mwaka huu kuanzia A-Z