msanii wa kizazi kipya gumzo ujelumani
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya nchini Malfred Alfred ameweza kukonga nyoyo
za mashabiki katika tamasha kubwa la muziki liliobatizwa jina
Jugend-festival Iller-tissen 2014 lililofanyika hivi karibuni nchini
Ujerumani.
Msanii wa bongo Malfred Alfred
Malfred
ameiambia eNewz kuwa hii imekuwa ni nafasi kubwa kwake kwa kupata
mwaliko huo akiwa kama mgeni kutoka barani Afrika ambapo ameweza
kupaform jukwaa moja na bendi maarufu za nchini humo zikiwemo 'like the
Killerpilze' na 'Qunstwerk!!
Aidha Malfred ameelezea kuwa hivi sasa anaendelea kuutangaza muziki wake nchini Ujerumani huku akiwa amefanya kolabo mpya na msanii Kala Jeremiah katika wimbo wao mpya uliobatizwa jina 'Usipoteze Time.

Comments
Post a Comment