DAVID BEKHAM KUFUNGUA MLADI WA MIGAHAWA




Mwanasoka wa zamani duniani David Beckham sasa amekuja na biashara mpya atakayoipa jina la ‘Beckham’s Bistro’ kwa kujenga migahawa mingi. Beckham mwenyewe anasema hiyo itakuwa kwa ajili ya mitoko ya vyakula tu kwani yeye ni mpenzi wa chakula.
Nyota huyo na mke wake Victoria wanaangalia uwezekano wa kupanua hisa za biashara zao nchini Marekani ambapo tayari wana urafiki na chef Gordon Ramsay, ambaye anamiliki migahawa mitatu mjini Vegas.
David, ambaye ana watoto watano Brooklyn, 15, Romeo, 11, Cruz, 9, na mtoto wao wa miaka miwili Harper na mke wake Victoria, waliripotiwa kuwekeza katika moja ya migahawa mikubwa jijini London mwaka jana wakiwa na mawazo tofauti.

Comments

Popular posts from this blog

soma habali za kwenye magazeti leo

hii ni list ya baadhi ya majina ya wasanii wa Nigeria waliohit mwaka huu kuanzia A-Z