FABREGAS ATUA CHELSEA KWA PAUNI MILIONI 30

KIUNGO wa Barcelona na Hispania, Cesc Fabregas amejiunga na Klabu ya Chelsea kwa pauni milioni 30 kwa mkataba wa miaka mitano. Fabregas atavaa jezi namba nne kama aliyokuwa akivaa Arsenal na Barcelona.
 Kiungo huyo ameishukuru Barcelona ambapo amekaa miaka mitatu kwa furaha.
"Ilikuwa timu yangu ya utotoni na nitajivunia kila mara kupata nafasi ya kuchezea timu hiyo kubwa"
"Nahisi bado sijamaliza kazi katika Premier League na kwa sasa ni muda muafaka mimi kurudi England…

roa maoni yako

Comments

Popular posts from this blog

soma habali za kwenye magazeti leo

hii ni list ya baadhi ya majina ya wasanii wa Nigeria waliohit mwaka huu kuanzia A-Z