MH. KOMBA AJIBU MASHAMBULIZI BAADA YA PICHA ZAKE KUVUJA AKIWA NA BINTI
baada ya kusambaa kwa picha za mheshimiwa Komba akiwa ## na binti/kijana mlembo hii ndio hii ndiyo kauli yake
“Picha nimewahi kupiga nyingi tangu utotoni lakini hizi za leo hata mimi zinaniogopesha, siwezi kuwa mwaguzi kujua nani amefanya hivyo lakini ukiangalia kuna roho ya uadui kati yangu mimi na huyo mtu ambaye ameamua kunifanyizia, kaamua kuingia vitani na anaweza kufanya hivyo kwa namna nyingi inaweza kuwa kisiasa au kiurafiki lakini zimenipa tabu sana, zimeisumbua familia yangu, marafiki zangu kwakweli zimenisumbua sana.
Comments
Post a Comment