mfungwa wa kisiasa atoweka gerezani

Aliyekuwa mwenyekiti wa chama tawala Nchini Burundi Hussein Rajabu ameripotiwa kutoroka jela.
Hussein Rajabu ambaye alikuwa mwanasiasa mashuhuri nchini humo alihukumiwa kifungo cha miaka 13 jela, mwaka 2007.
Rajabu alikuwa anakabiliwa na kosa la hatia ya uhaini dhidi ya serikali kwa kutaka kuzusha vurugu nchini humo.
Raia wengi wameonyesha wasiwasi wao kuhusiana na tukio hili. Kutoka Bujumbura KAZUNGU Lozy anatupasha zaidi

chanzo bbc swahili

Comments

Popular posts from this blog

hii ni list ya baadhi ya majina ya wasanii wa Nigeria waliohit mwaka huu kuanzia A-Z

mbinu za kuwa producer au mtayarishaji wa music