Lil Wayne ajiunga na istagram kwa mala ya kwanza

Lil Wayne ni moja kati ya wanamuziki wanaofanya vizuri dunian na hauwezi ukataja wasanii watano maarufu duniani bila kutaja jina lake
 katika stori ambazo ambazo ni habali ya mjini ni stori yake ya kujiunga na mtandao wa istagram kwa mala ya kwanza leo amepost picha unaweza kuicheki kipitia link hii
https://instagram.com/p/0tYCGlu__i/?taken-by=liltunechi


lakini watu wengi wameshangazwa na kitendo cha Lil Wayne kuto mfollow mtu yeyote japo watu wengi wamemfollow

Comments

Popular posts from this blog

soma habali za kwenye magazeti leo

hii ni list ya baadhi ya majina ya wasanii wa Nigeria waliohit mwaka huu kuanzia A-Z