Cristiano Ronaldo afanya utani wa mwaka
Haikuwa kazi rahisi kuamini alichokikuta Ricardo Quaresma wa klabu ya Ureno katika gari lake baada ya utani alioufanya mchezaji mwenzake, Cristiano Ronaldo.
Ukiachia umakini wake anapokuwa uwanjani Ronaldo alionyesha utani wa aina yake baada ya kuamua kuzungushia nailoni nyepesi kwenye gari ya mchezaji mwenzake huku akilipamba na logo ya CR7 ya kampuni ya Nike ambayo ipo kwenye kiatu chake.
Baada ya kufanya hivyo Cristiano Ronaldo aliandika kwenye ukurasa wake wa twitter; “Hey @07RQuaresma, thought you could use a little more speed for our next match!”– @Cristiano
bonyeza link hii kuiona video video
https://www.youtube.com/watch?v=1QEs-TfN0WY
Comments
Post a Comment