picha za jana kwenye tamasha la matumaini 2014
wasanii
wa Maigizo,Cloud (kushoto) na JB, wakichana wakati wa Tamasha hilo. Jb
alishinda kwa Pointi. KWA MATUKIO KAMILI YA PICHA ZA TAMASHA HILI KAA
NASI HAPO BAADAYE.
Msanii wa kunyanyua vitu vizito, Maisala Juma
akionyesha umahiri wake wa kufanya mazoezi wakati wa Tamasha la
Matumaini lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania katika kuazimisha sikukuu
ya Nanenane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana.
Msanii wa muziki wa nyimbo za dini kutoka
mbeya Bw. Ambwene Mwasongwe,akiimba na kukongonga nyoyo za mashabiki wa
nyimbo zake wakati wa Tamasha la Matumaini lililodhaminiwa na Vodacom
Tanzania katika kuazimisha sikukuu ya Nanenane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana.
Msanii
wa Muziki wa kizazi kipya na mchezaji wa Bongo Fleva Ally Kiba wapili
kushoto akishangilia na wenzake mara baada ya kuifuingia timu yake goli
la kwanza katika Tamasha la Matumaini lililoandaliwa na Global
Publishers na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania katika kuazimisha sikukuu
ya Nanenane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana.
Timu zikiingia uwanjani.
Ridhiwan akiwapa hi mashabiki.
Waamuzi wakiingia uwanjani.
Kikosi cha Yanga kilichokwaana na Simba na kuibuka na ushindi wa 3-2.
Kikosi cha Simba kilichopigwa 3-2 na Yanga.
Mwamuzi Othman Kazi akiongea na manahodha wa Yanga na Simba (Wabunge).
Mechi ya wabunge mashabiki wa Simba na Yanga iliyopigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 imemalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 3-2. Wafungaji Simba: Maji Marefu na Yusuf Gogo. Yanga: Idrissa Kitwana, Ahmed Ngwali na Mark Tanda.

Comments
Post a Comment