angalia picha za yule housegirl aliyemtesa mtoto akiwa mahhakamani leo

image-11-12-14-11-58-1
Kwa mara ya pili yule msichana anayetuhumiwa kwa kesi ya kumpiga mtoto Uganda amepandishwa Mahakamani jana December 10, tarehe ambayo Mahakama ya Uganda ilipanga kutoa hukumu ya msichana huyo.
Msichana huyo Jolly Tumuhirwe, alipandishwa Mahakamani siku ya Jumatatu wiki hii ambapo alikiri kutenda kosa hilo na kuomba msamaha, amerudishwa tena gerezani mpaka December 16, siku ya Jumanne ambapo atapandishwa tena Mahakamani kwa ajili kesi yake kuendelea kusikilizwa..
Kesi hiyo itaendelea kusikilizwa katika Mahakama ya Buganda Road Jumanne ya wiki ijayo.
image-11-12-14-11-58

Comments

Popular posts from this blog

soma habali za kwenye magazeti leo

hii ni list ya baadhi ya majina ya wasanii wa Nigeria waliohit mwaka huu kuanzia A-Z