Jenipher wa Kanumba na Star mapozi wa mkubwa na wanawe waingia kwenye mahusiano



















kwa habali zilizotufikia punde inasemekana eti huenda mwigizaji wa kike maarufu kama Jenipher wa Kanumba aliyeigiza kwenye Muvi ya ANKO JJ akawa kwenye mahusiano na Star mapozi wa band mpya ya Mkubwa na wanae
hii ni baada ya msanii huyo Star Mapozi kupost Picha aliyoiedit akiwa na Jenipher na kuandika otea .nimemzidi miaka mingapi huyu bibie #mapozi #kakawataifa. hebu toa maoni yako unalichukuliaje hili swala


Comments

Popular posts from this blog

soma habali za kwenye magazeti leo

hii ni list ya baadhi ya majina ya wasanii wa Nigeria waliohit mwaka huu kuanzia A-Z