Diamond Alikiba Wizikid Mb Dog na Runtown wakutana Nyumba moja na kushoot Video
katika hali ya kushangaza pengine ulikuwa hata ujawaza swala hili na inaweza kuwa kama ndoto lakini ukweli ni kwamba wasanii kibao wa Afrika wagongana kwenye nyumba moja na kufanya video ambazo ni kali.
wasanii hao ni Diamond Alikiba Wizikid Mb Dog na Runtown pamoja na wengine ambao hatujawataja
tukianza na Runtown
Runtown ameshoot video ya wimbo wake wa "Wallah" kwenye mjumba huo
Mb Dog
Mb Dog ameshoot wimbo wake wa "Sio Siri" kwenye mjumba huo
Diamond
Rais huyu wa wasafi (diamond) ameshoot video ya "Utanipenda" kwenye jumba hili hili
WizKid
Staa huyu mkubwa aliyefanikiwa kufanya kolabo nyingi na wasanii wa marekani (WizKid) kama Chris Brown naye tena ameshoot wimbo wake wa "Baba Nla" kwenye huu huu mjengo
Alikiba
Msanii huyu aliyekuja kukikalia kiti chake pia ameshoot nyimbo yake ambayo bado haijatoka inayosemekana kuwa inaitwa Kajiandae na inasemekana zaidi kuwa huenda akawa amemshirikisha Ommy Dimpoz na katika video za behind the scenes pamoja na picha inaonekana nae pia yupo kwenye mjengo huo huo
hebu tizama video inayowaonyesha wote wakiwa katika Mjengo huo wa kifahari Afrika kusini kwa kubonyeza link hii chini
chnz: Team Tz
Comments
Post a Comment