Freeman Mbowe atupiwa nje virago vyake na NHC
Madalali wa NHC wamefika katika ofisi za gazeti la Tanzania Daima asubuhi hii na kuanza kutoa vifaa ofisini kutokana na deni la pango la mmiliki wa gazeti hilo, Freeman Mbowe.
Mhariri Mtendaji wa Tanzania Daima, Neville Meena amesema wako kwenye msukusuko mkubwa lakini wanafanya jitihada za kukabiliana na hali hiyo ili kuhakikisha uzalishaji wa gazeti unafanyika kama kawaida.
chanzo: Jamii Forum
Comments
Post a Comment