DIAMOND AWAKUBALI WASANII HAWA KUTOKA MBEYA

AfroMagic ni kundi la vijana wadogo wanamuziki waliokuja juu ghafla baada ya kufanya video yao kali iliyowashangazi watu wengi wakiwepo mastaa kwa sababu imefanyika mbeya na muongozaji akiwa ni ABAS lakini ubora wake ni kama video zinazoshutiwa South Africa

angalia video yao hapo juu kisha acha coment yako chini

Comments

Popular posts from this blog

soma habali za kwenye magazeti leo

hii ni list ya baadhi ya majina ya wasanii wa Nigeria waliohit mwaka huu kuanzia A-Z