Rais kikwete awaaga wasanii na kumtambulisha Magufuli kama mrithi wake muda huu mlimani city
haya ni mambo yanayoendelea saizi katika ukumbi wa mlimani city dar ambapo wasanii wengi wamekusanyika katika sherehe hizo
lakini katika mitandao ya kijamii Watanzania wengi wamekuwa wakiongea maneno mengi kuwa hiyo sio sherehe ya kumuaga Rais JK bali ni sherehe ya kumpigia kampeni Dr John Pombe Magufuri
je wewe kama Mtanzania una mtazamo gani?
Comments
Post a Comment