NJAA KALI YA BUSHOKE YAMFANYA ANYIMWE SAHANI IKULU
msanii mkongwe wa bongo fleva Bushoke amakili kuwa alipoalikwa ikulu kupata chakula cha jioni alivutiwa na sahani pamoja na kijiko ikulu vyenye nembo ya taifa
hakuishia kutamani tu bali akaamua kumuomba Rais JK na hata hivyo safari au jitihada zake ziligonga mwamba baada ya JK kumpotezea kwa kumwambia kuwa "hizi si mali zangu ni mali za selikali"
aliondoka kiaibu aibu baada ya kukosa mali hizo za serikali
yote hayo amayasema saizi usiku huu katika sherehe zinazoendelea za wasanii mbali mbali za kumuaga Rais JK Mlimani City
Comments
Post a Comment