Posts

Showing posts from September, 2016

Vanessa Mdehe aichukua nafasi ya Diamond Kwenye show Marekani

Image
Vanessa Mdee ataungana na wasanii ‘cream’ kutoka Afrika kwenye tamasha la mara ya pili la One Africa Music litakalofanyika jijini Houston, Texas, Marekani, October 22. Hiyo itakuwa show ya pili baada ya ile ya kwanza iliyofanyika July 22, kwenye ukumbi wa Barclays Centre, New York, Marekani na kukutanisha mastaa kama Diamond, Wizkid, Davido, Tiwa Savage, Flavour na wengine. Katika show ya October 22, Vanessa Mdee apanda jukwaa moja na wasanii wakubwa wa Afrika wakiwemo 2 Face, Flavour, P –Square, D’Banj, Kcee, Mafikizolo, Fally Ipupa na Cabo Snoop, “Houston we have a PROBLEM!!!!! See you at the Toyota Centre on the 22nd Oct 2016,” ameandika Vee Money. “Watu wangu wa Houston na miji mingine ya karibu. Nataka kuwaona kwa wingi.”

Diamond Alikiba Wizikid Mb Dog na Runtown wakutana Nyumba moja na kushoot Video

Image
katika hali ya kushangaza pengine ulikuwa hata ujawaza swala hili na inaweza kuwa kama ndoto lakini ukweli ni kwamba wasanii kibao wa Afrika wagongana kwenye nyumba moja na kufanya video ambazo ni kali. wasanii hao ni Diamond Alikiba Wizikid Mb Dog na Runtown pamoja na wengine ambao hatujawataja tukianza na Runtown Runtown ameshoot video ya wimbo wake wa "Wallah" kwenye mjumba huo Mb Dog Mb Dog ameshoot wimbo wake wa "Sio Siri" kwenye mjumba huo Diamond Rais huyu wa wasafi (diamond) ameshoot video ya "Utanipenda" kwenye jumba hili hili WizKid Staa huyu mkubwa aliyefanikiwa kufanya kolabo nyingi na wasanii wa marekani (WizKid) kama Chris Brown naye tena ameshoot wimbo wake wa "Baba Nla" kwenye huu huu mjengo Alikiba Msanii huyu aliyekuja kukikalia kiti chake pia ameshoot nyimbo yake ambayo bado haijatoka inayosemekana kuwa inaitwa Kajiandae na inasemekana zaidi kuwa huenda akawa amemshirikisha Ommy Dimpoz na...

MPYA: Diamond ft Ne-Yo - Marry You (Behind the scenes) video na picha

Image
    baada ya diamond kwenda Marekani sasa hiki ndicho alichoenda kukifanya wakiwa na NEYO tazama video hii ya Behind the scenes

Jenipher wa Kanumba na Star mapozi wa mkubwa na wanawe waingia kwenye mahusiano

Image
kwa habali zilizotufikia punde inasemekana eti huenda mwigizaji wa kike maarufu kama Jenipher wa Kanumba aliyeigiza kwenye Muvi ya ANKO JJ akawa kwenye mahusiano na Star mapozi wa band mpya ya Mkubwa na wanae hii ni baada ya msanii huyo Star Mapozi kupost Picha aliyoiedit akiwa na Jenipher na kuandika otea .nimemzidi miaka mingapi huyu bibie #mapozi #kakawataifa . hebu toa maoni yako unalichukuliaje hili swala

Freeman Mbowe atupiwa nje virago vyake na NHC

Image
Madalali wa NHC wamefika katika ofisi za gazeti la Tanzania Daima asubuhi hii na kuanza kutoa vifaa ofisini kutokana na deni la pango la mmiliki wa gazeti hilo, Freeman Mbowe.    Mhariri Mtendaji wa Tanzania Daima, Neville Meena amesema wako kwenye msukusuko mkubwa lakini wanafanya jitihada za kukabiliana na hali hiyo ili kuhakikisha uzalishaji wa gazeti unafanyika kama kawaida.   chanzo: Jamii Forum