CHEKA LEO sehemu ya pili (2)
cheka leo ni mkusanyiko wa picha, video na stori za kuchekesha kutoka sehemu
mbali mbali kama mitandao ya kijamii, blog mbali mbali na sehemu
nyinginezo vitakavyo kufanya ucheke na uweke siku yako kuwa ya furaha
isiyo na kifani
Mchaga. Mchaga alipata ajali alipozinduka pale
hospitali akauliza "nipo wapi hapa?" Nesi akajibu,"umepata ajali,
hapa upo hospitali. Bahati mbaya umekatika mkono." Mgonjwa: Na je saa
yangu ipo wapi ya Rolex? Ipo mzee, nesi alijibu. Nesi: Mkeo na
watoto wapo hapa kukufariji. Mgonjwa: Yeuwi... Wamefunga duka?
cheka na picha
1
hii ndio mlimani city jamaa kaamua kujenga na kuandika MLIMANI CETY badala ya MLIMANI CITY vipi inaionaje hii
2
mambo ya kuchabo
3
unamuonaje huyu jamaa
cheka na stori sasa
Comments
Post a Comment