wadau wa muziki waijia juu BASATA baada ya kumsimamisha Shilole kufanya muziki mwaka mmoja
kumekuwa na na mawazo tofauti ya wadau mbalimbali kuhusiana na taarifa iliyotolewa na basata ya kumsimamisha mwanadada Shilole kufanya muziki kwa muda wa mwaka mmoja na haya ni baadhi ya malalamiko ya wadau wa muziki kupitia mitandao ya kijamii Sain Meles HABARI HII SIYO NZURI , HII INARUDISHA NYUMA MAENDELEO YA WASANI HUSUSAN WAKIKE WANAOFANYA VIZURI NCHINI AMBAO NAO BADO NI WACHACHE , Hata hivyo Shilole hakucheza uchi kama inavyo daiwa , ziwa lake lilitoka nje kwa bahati mbaya akiwa stejini pia aliwai kuwaomba Watanzania msamaha kwa kile kilichotokea, ingawaje BASATA mnalikuza tukio hilo kama vile bado analiendeleza, Kwahiyo mnamsitisha kufanya Music mnataka afanye nini? Vipi familia ndugu na jamaa zake wanaonufaika kupitia kazi zake? Adhabu ya Mwaka mmoja ni kumrudisha nyuma kimaendeleo , Hivi mnajua Shilole ameteseka kiasi gani mpaka kuwa Star Hapa bongo? Nadhani hamlifahamu hilo ndiyo maana mnachukulia poa. Nawe Mtanzania unaeshangilia Kufungiwa kwake inaku...