WAZIRI WA AFYA NA NAIBU WAKE WATEMBELEA HOSPITALI KUU YA MNAZI MMOJA, ZANZIBAR
Waziri
wa Afya Mh. Rashid Seif akiongozana na Naibu wake Mh. Mahmoud Thabit
Kombo wakitembelea eneo la Hospitali ya Mnzammoja katika ziara yake ya
kutembelea Hospitali hiyo.
Mkuu wa kitengo cha maradhi ya kisukari katika Hospitali kuu ya Mnazimmoja Dkt Miskia Ali akitowa maelezo kwa Waziri wa Afya juu ya kadhia ya maradhi hayo.
Waziri wa Afya akipata maelezo ya shughuli za Maabara kutoka kwa mtaalamu wa Maabara wa Hospitali Kuu ya Mnazimmoja Dkt. Marijani.

Comments
Post a Comment