VIDEO MPYA YA MIRROR WA WEMA SEPETU wimbo unaitwa MWAJUMA NDALA NDEFU

inawezekana hii ikawa ni ngeni masikioni kwako lakini ina miaka mitano tangu itoke na kipindi hicho Mirror alikuwa pamoja na wenzie wanne waliounda kundi liitwalo Better Crew producer wa wimbo huu ni C9

enjoy

Comments

Popular posts from this blog

soma habali za kwenye magazeti leo

hii ni list ya baadhi ya majina ya wasanii wa Nigeria waliohit mwaka huu kuanzia A-Z