VIDEO MPYA YA MIRROR WA WEMA SEPETU wimbo unaitwa MWAJUMA NDALA NDEFU
inawezekana hii ikawa ni ngeni masikioni kwako lakini ina miaka mitano tangu itoke na kipindi hicho Mirror alikuwa pamoja na wenzie wanne waliounda kundi liitwalo Better Crew producer wa wimbo huu ni C9 enjoy