KUMEKUCHA NA MCHANGANYIKO WA FULSA
Kutokana na maoni ya watu wengi kupitia email ya micmarryed@gmail.com wameomba blog hii iwe ni ya mchanganyiko wa vitu tofauti kwa kuwa wasomamaji ni watu nasi hatuna budi kukubali hivyo basi kuanzia tarehe 9/6/2014 tutaanza kuweka vitu mchanganyiko ikiwemo habali, stori, elimu mbalimbali ikiwemo ya musik hivyo ukiwa kama msomaji utapata fulsa mbali mbali kupitia blog hI